WEBVTT 00:00:03.088 --> 00:00:05.224 Hakuna kitu chenye nguvu zaidi ya wazo 00:00:05.224 --> 00:00:07.810 ambalo wakati wako sasa umewadia 00:00:24.219 --> 00:00:32.036 Sasa hivi, kuna watu wengi zaidi katika mtandao wa facebook kuliko watu walikuwepo duniani miaka mia mbili iliopita 00:00:35.066 --> 00:00:39.575 Lengo kubwa la ubinadamu ni kuuangana na kuwa pamoja na watu. 00:00:39.867 --> 00:00:44.651 Na sasa, tunaweza kuonana. Tunaweza kusikilizana. 00:00:44.651 --> 00:00:46.205 "Babu nakupenda!" 00:00:46.205 --> 00:00:47.187 "Nakupenda!" 00:00:47.187 --> 00:00:49.114 "Kwa nini.. kwa nini haipigi picha?" 00:00:49.914 --> 00:00:53.946 Tunashirikiana kile tukipendacho na kinatukumbusha kile tulichonacho kwa pamoja. 00:00:54.053 --> 00:00:57.771 "Alichimbuliwa akiwa hai na mzima baada ya siku saba na nusu..' 00:00:58.064 --> 00:01:03.986 "Ukijiamini, utajua jinsi ya kuendesha baiskeli! Angalia na jifunze!" 00:01:03.986 --> 00:01:09.903 "Kwa hiyo sasa kiufundi, zana zenu zipo tayari. Unaweza kutambua?" 00:01:10.672 --> 00:01:12.482 "Oh! Inafurahisha!" 00:01:13.451 --> 00:01:18.099 Na huu uhusiano unabadilisha dunia inavyoenda. 00:01:18.099 --> 00:01:20.502 Serikali zinajitahidi kuendana na mabadaliko hayo.