Hakuna kitu chenye nguvu zaidi ya wazo ambalo wakati wako sasa umewadia Sasa hivi, kuna watu wengi zaidi katika mtandao wa facebook kuliko watu walikuwepo duniani miaka mia mbili iliopita Lengo kubwa la ubinadamu ni kuuangana na kuwa pamoja na watu. Na sasa, tunaweza kuonana. Tunaweza kusikilizana. "Babu nakupenda!" "Nakupenda!" "Kwa nini.. kwa nini haipigi picha?" Tunashirikiana kile tukipendacho na kinatukumbusha kile tulichonacho kwa pamoja. "Alichimbuliwa akiwa hai na mzima baada ya siku saba na nusu..' "Ukijiamini, utajua jinsi ya kuendesha baiskeli! Angalia na jifunze!" "Kwa hiyo sasa kiufundi, zana zenu zipo tayari. Unaweza kutambua?" "Oh! Inafurahisha!" Na huu uhusiano unabadilisha dunia inavyoenda. Serikali zinajitahidi kuendana na mabadaliko hayo.