[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:03.09,0:00:05.22,Default,,0000,0000,0000,,Hakuna kitu chenye nguvu zaidi ya wazo Dialogue: 0,0:00:05.22,0:00:07.81,Default,,0000,0000,0000,,ambalo wakati wako sasa umewadia Dialogue: 0,0:00:24.22,0:00:32.04,Default,,0000,0000,0000,,Sasa hivi, kuna watu wengi zaidi katika mtandao wa facebook kuliko watu walikuwepo duniani miaka mia mbili iliopita Dialogue: 0,0:00:35.07,0:00:39.58,Default,,0000,0000,0000,,Lengo kubwa la ubinadamu ni kuuangana na kuwa pamoja na watu. Dialogue: 0,0:00:39.87,0:00:44.65,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa, tunaweza kuonana. Tunaweza kusikilizana. Dialogue: 0,0:00:44.65,0:00:46.20,Default,,0000,0000,0000,,"Babu nakupenda!" Dialogue: 0,0:00:46.20,0:00:47.19,Default,,0000,0000,0000,,"Nakupenda!" Dialogue: 0,0:00:47.19,0:00:49.11,Default,,0000,0000,0000,,"Kwa nini.. kwa nini haipigi picha?" Dialogue: 0,0:00:49.91,0:00:53.95,Default,,0000,0000,0000,,Tunashirikiana kile tukipendacho na kinatukumbusha kile tulichonacho kwa pamoja. Dialogue: 0,0:00:54.05,0:00:57.77,Default,,0000,0000,0000,,"Alichimbuliwa akiwa hai na mzima baada ya siku saba na nusu..' Dialogue: 0,0:00:58.06,0:01:03.99,Default,,0000,0000,0000,,"Ukijiamini, utajua jinsi ya kuendesha baiskeli! Angalia na jifunze!" Dialogue: 0,0:01:03.99,0:01:09.90,Default,,0000,0000,0000,,"Kwa hiyo sasa kiufundi, zana zenu zipo tayari. Unaweza kutambua?" Dialogue: 0,0:01:10.67,0:01:12.48,Default,,0000,0000,0000,,"Oh! Inafurahisha!" Dialogue: 0,0:01:13.45,0:01:18.10,Default,,0000,0000,0000,,Na huu uhusiano unabadilisha dunia inavyoenda. Dialogue: 0,0:01:18.10,0:01:20.50,Default,,0000,0000,0000,,Serikali zinajitahidi kuendana na mabadaliko hayo.