1 00:00:03,088 --> 00:00:05,224 Hakuna kitu chenye nguvu zaidi ya wazo 2 00:00:05,224 --> 00:00:07,810 ambalo wakati wako sasa umewadia 3 00:00:24,219 --> 00:00:32,036 Sasa hivi, kuna watu wengi zaidi katika mtandao wa facebook kuliko watu walikuwepo duniani miaka mia mbili iliopita 4 00:00:35,066 --> 00:00:39,575 Lengo kubwa la ubinadamu ni kuuangana na kuwa pamoja na watu. 5 00:00:39,867 --> 00:00:44,651 Na sasa, tunaweza kuonana. Tunaweza kusikilizana. 6 00:00:44,651 --> 00:00:46,205 "Babu nakupenda!" 7 00:00:46,205 --> 00:00:47,187 "Nakupenda!" 8 00:00:47,187 --> 00:00:49,114 "Kwa nini.. kwa nini haipigi picha?" 9 00:00:49,914 --> 00:00:53,946 Tunashirikiana kile tukipendacho na kinatukumbusha kile tulichonacho kwa pamoja. 10 00:00:54,053 --> 00:00:57,771 "Alichimbuliwa akiwa hai na mzima baada ya siku saba na nusu..' 11 00:00:58,064 --> 00:01:03,986 "Ukijiamini, utajua jinsi ya kuendesha baiskeli! Angalia na jifunze!" 12 00:01:03,986 --> 00:01:09,903 "Kwa hiyo sasa kiufundi, zana zenu zipo tayari. Unaweza kutambua?" 13 00:01:10,672 --> 00:01:12,482 "Oh! Inafurahisha!" 14 00:01:13,451 --> 00:01:18,099 Na huu uhusiano unabadilisha dunia inavyoenda. 15 00:01:18,099 --> 00:01:20,502 Serikali zinajitahidi kuendana na mabadaliko hayo.