0:00:03.088,0:00:05.224 Hakuna kitu chenye nguvu zaidi ya wazo 0:00:05.224,0:00:07.810 ambalo wakati wako sasa umewadia 0:00:24.219,0:00:32.036 Sasa hivi, kuna watu wengi zaidi katika mtandao wa facebook kuliko watu walikuwepo duniani miaka mia mbili iliopita 0:00:35.066,0:00:39.575 Lengo kubwa la ubinadamu ni kuuangana na kuwa pamoja na watu. 0:00:39.867,0:00:44.651 Na sasa, tunaweza kuonana. Tunaweza kusikilizana. 0:00:44.651,0:00:46.205 "Babu nakupenda!" 0:00:46.205,0:00:47.187 "Nakupenda!" 0:00:47.187,0:00:49.114 "Kwa nini.. kwa nini haipigi picha?" 0:00:49.914,0:00:53.946 Tunashirikiana kile tukipendacho na kinatukumbusha kile tulichonacho kwa pamoja. 0:00:54.053,0:00:57.771 "Alichimbuliwa akiwa hai na mzima baada ya siku saba na nusu..' 0:00:58.064,0:01:03.986 "Ukijiamini, utajua jinsi ya kuendesha baiskeli! Angalia na jifunze!" 0:01:03.986,0:01:09.903 "Kwa hiyo sasa kiufundi, zana zenu zipo tayari. Unaweza kutambua?" 0:01:10.672,0:01:12.482 "Oh! Inafurahisha!" 0:01:13.451,0:01:18.099 Na huu uhusiano unabadilisha dunia inavyoenda. 0:01:18.099,0:01:20.502 Serikali zinajitahidi kuendana na mabadaliko hayo.