Na hapa juu, ni watu matajiri na wenye afya kutumia darubini la macho, ni kiini muhimu cha kazi yangu Nafunza somo la afya idhidiyo kila kitu(kiulimwengu) Na na jua, kuwa na fununu ya mambo haitoshi Nataka kuionyesha kinamna ambayo itaburudisha watu na pia wataielewa. Kwa sasa, naenda kujaribu kitu amabacho sijakifanya abadani. kuieleza hiyo habari katika pahali halisi. kututumia usaidizi wa mahodari. Basi twende, kwanza laini ya afya Urefu wa misha toka miaka ishirini na mitano hadi miaka sabini na tano. Na kwa chini, laini ya utajiri. Uingizi wa mali: Mia nne, elfu nne na elfu arubaini Hela ya Kiamerika Hapa chini, ni watu maskini na wagonjwa Na sasa naenda kukuonyesha namna dunia ilivyokuwa miaka mia mbili iliyopota. Mwaka 1810 Namna nchi zote zilivyokuwa. Bara la Yuropa burauni, Asia nyekundu, Mashariki ya Kati kijani kibichi na Afrika Kusina ya Sahara bilu Na Amerika ni yelo Na kiwango cha doti cha onyesha kiwango cha watu katika kila nchi. Mwaka 1810, idadi ya watu huko chini ilikuwa imefinyana. Nchi zote zilikuwa gonjwa na maskini. Urefu wa maisha ulikuwa chini ya miaka arubaini katika nchi zote Na Uingereza na Uholanzi zilikuwa zenye ubora kidogo. Lakini si wa wingi. Na sasa, naanza na dunia nzima Mabadiliko ya kimawanda yanafanya nchi za bara la ulaya na kwingine. ziendelee mbele kiliko nchi zingine. Lakini nchi zilizo chini ya utawa wa wazungu barani Asia na Afrika zimebaki huko chini. Ambapo nchi za Kazkazini zazidi kuwa na afya ya hali ya juu na sasa twatuliza ili tuonyesha mahadhara ya Vita vya kwanza vya Dunia na homa ya Kispanishi. Mkasa gani huu! Na sasa, naendelea kwa uharaka kuelezea miaka ya 1920 hadi 1930 na ijapokuwa na ududumishi wa kiuchumi mkubwa duniani nchi za Kikazkazini zilizindi kuendelea katika takahadi za kiutajiri na afya. Nchi ya Japani na zinginezo zilifuata lakini, nchi nyingi zilizidi kubaki chini Na sasa, baada ya madhara ya Vita vya pili vya Dunia ni vizuri tupumzike kidogo na kupiga darubini dunia ya mwaka wa 1948 Mwaka wa 1948, ulikuwa mwaka mzuri kwani vita vilikuwa vimekwisha Na Swdeni ilishinda kwa makombe mengi katika michezo ya Kiolimpiki ya wakati wa ubaridi Na hapo ndipo nilipozaliwa Lakini tofauti kati ya nchi za dunia ilizidi kupanuka na kupanuka Muunganao wa Kiamerika ulikuwa usoni na Japani ikiwafuatiya Brazili ilikuwa i nyuma bado Irani ilikuwa yawa tajiri kutokana na hela ya mafuta lakini urefu wa maisha nchini ulikuwa chini bado Na Majitu ya Kieshia Uchina, India, Upakistani, Ubangladeshini na Indonesia walikuwa bado maskini na wagonjwa Lakini anagalia kwa umakanini kile kitakachotokea Hapa twaenda tena Katika maisha yangu, nchi zilizokuwa chini ya utawala wa wabeberu zilijinyakulia uhuru hatimaye zilianza kuwa na afya na hata afya zaidi na afya zaidi Na miaka ya 1970, nchi za Asia na Amerika ya Kiulatini Zilianza kuwa kama nchi za Kikazkazini kimaendeleo zilikuwa zazidi kukuwa kiuchumi na zingine za Afrika zilifuata za zingine za Afrika zilididimia katika vita vya kiwenyewe na zingine zilizogwa na janga la Ukimwi Na sasa twaweza kuona ulimwengu wa leo kutokana na habari na vipimo vya kisasa watu wengi hivi leo wanaishi katikati lakini kuna tofauti kubwa sana kati ya nchi zilizoendelea na nchi zilizobaki nyuma na pia, ndani ya kila nchi, hakuna usawa Na madoti haya yanaonyesha ulinganisha kwa nchi lakini pia naweza kuyatenganisha Angalia kama Uchina, naweza kuitenganisha kiwilaya Waiona Shanghai Iko na utajiri na afya mithili ya Uitalia ya leo Na pia kuna wilaya maskini ya Gansu Ni mithili ya Upakistani N nikiigawanya zaidi pande za mashabani ni mithili ys Ghana barani Afrika Na dhidi ya hizi tofauti za leo tumeona miaka mia mbili ya maendeleo yenye muhimu Na nafasi kubwa ya kihistoria kati ya nchi za kikazkazini na zinginezo zafungika ulimwengu wa sasa unarudiana na naona namna mambo yakavyokuwa miaka ijayo na kupitia kwa usaidizi, amani na teknolojia safi sinashaka kuwa kila mtu ataendelea na kuwa na utajiri na afya Basi, uliyoyaona kwa dakika chahe za mwisho ni hadithi ya nchi mia mbili ilioonyeshwa kupitia mia mia mbili na zaidi na inawezeshwa kutumia nambari 120 000 Ni vizurii eeh,ama waonaje shoga wangu?