[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,9:59:59.99,9:59:59.99,Default,,0000,0000,0000,,Na hapa juu, ni watu matajiri na wenye afya Dialogue: 0,0:00:03.84,0:00:07.14,Default,,0000,0000,0000,,kutumia darubini la macho, ni kiini muhimu cha kazi yangu Dialogue: 0,0:00:07.68,0:00:10.45,Default,,0000,0000,0000,,Nafunza somo la afya idhidiyo kila kitu(kiulimwengu) Dialogue: 0,0:00:10.55,0:00:13.23,Default,,0000,0000,0000,,Na na jua, kuwa na fununu ya mambo haitoshi Dialogue: 0,0:00:13.23,0:00:17.92,Default,,0000,0000,0000,,Nataka kuionyesha kinamna ambayo itaburudisha watu na pia wataielewa. Dialogue: 0,0:00:17.92,0:00:22.30,Default,,0000,0000,0000,,Kwa sasa, naenda kujaribu kitu amabacho sijakifanya abadani. Dialogue: 0,0:00:22.30,0:00:25.18,Default,,0000,0000,0000,,kuieleza hiyo habari katika pahali halisi. Dialogue: 0,0:00:25.18,0:00:28.53,Default,,0000,0000,0000,,kututumia usaidizi wa mahodari. Dialogue: 0,0:00:29.31,0:00:33.38,Default,,0000,0000,0000,,Basi twende, kwanza laini ya afya Dialogue: 0,0:00:33.38,0:00:38.64,Default,,0000,0000,0000,,Urefu wa misha toka miaka ishirini na mitano hadi miaka sabini na tano. Dialogue: 0,0:00:38.64,0:00:41.18,Default,,0000,0000,0000,,Na kwa chini, laini ya utajiri. Dialogue: 0,0:00:41.18,0:00:46.55,Default,,0000,0000,0000,,Uingizi wa mali: Mia nne, elfu nne na elfu arubaini Hela ya Kiamerika Dialogue: 0,0:00:46.55,0:00:50.33,Default,,0000,0000,0000,,Hapa chini, ni watu maskini na wagonjwa Dialogue: 0,0:00:53.47,0:00:58.52,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa naenda kukuonyesha namna dunia ilivyokuwa miaka mia mbili iliyopota. Dialogue: 0,0:00:58.52,0:01:00.29,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka 1810 Dialogue: 0,0:01:00.29,0:01:01.96,Default,,0000,0000,0000,,Namna nchi zote zilivyokuwa. Dialogue: 0,0:01:01.96,0:01:08.10,Default,,0000,0000,0000,,Bara la Yuropa burauni, Asia nyekundu, Mashariki ya Kati kijani kibichi na Afrika Kusina ya Sahara bilu Dialogue: 0,0:01:08.10,0:01:09.62,Default,,0000,0000,0000,,Na Amerika ni yelo Dialogue: 0,0:01:09.62,0:01:13.30,Default,,0000,0000,0000,,Na kiwango cha doti cha onyesha kiwango cha watu katika kila nchi. Dialogue: 0,0:01:13.30,0:01:17.38,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka 1810, idadi ya watu huko chini ilikuwa imefinyana. Dialogue: 0,0:01:17.38,0:01:19.41,Default,,0000,0000,0000,,Nchi zote zilikuwa gonjwa na maskini. Dialogue: 0,0:01:19.41,0:01:23.16,Default,,0000,0000,0000,,Urefu wa maisha ulikuwa chini ya miaka arubaini katika nchi zote Dialogue: 0,0:01:23.16,0:01:26.96,Default,,0000,0000,0000,,Na Uingereza na Uholanzi zilikuwa zenye ubora kidogo. Dialogue: 0,0:01:26.96,0:01:28.55,Default,,0000,0000,0000,,Lakini si wa wingi. Dialogue: 0,0:01:28.55,0:01:30.20,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa, naanza na dunia nzima Dialogue: 0,0:01:31.97,0:01:36.60,Default,,0000,0000,0000,,Mabadiliko ya kimawanda yanafanya nchi za bara la ulaya na kwingine. Dialogue: 0,0:01:36.60,0:01:38.58,Default,,0000,0000,0000,,ziendelee mbele kiliko nchi zingine. Dialogue: 0,0:01:38.58,0:01:41.43,Default,,0000,0000,0000,,Lakini nchi zilizo chini ya utawa wa wazungu barani Asia na Afrika Dialogue: 0,0:01:41.43,0:01:43.61,Default,,0000,0000,0000,,zimebaki huko chini. Dialogue: 0,0:01:43.61,0:01:47.42,Default,,0000,0000,0000,,Ambapo nchi za Kazkazini zazidi kuwa na afya ya hali ya juu Dialogue: 0,0:01:47.47,0:01:51.31,Default,,0000,0000,0000,,na sasa twatuliza ili tuonyesha mahadhara Dialogue: 0,0:01:51.31,0:01:52.94,Default,,0000,0000,0000,,ya Vita vya kwanza vya Dunia Dialogue: 0,0:01:52.94,0:01:57.67,Default,,0000,0000,0000,,na homa ya Kispanishi. Mkasa gani huu! Dialogue: 0,0:01:57.67,0:02:02.40,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa, naendelea kwa uharaka kuelezea miaka ya 1920 hadi 1930 Dialogue: 0,0:02:02.40,0:02:04.04,Default,,0000,0000,0000,,na ijapokuwa na ududumishi wa kiuchumi mkubwa duniani Dialogue: 0,0:02:04.12,0:02:05.88,Default,,0000,0000,0000,,nchi za Kikazkazini zilizindi kuendelea Dialogue: 0,0:02:05.88,0:02:07.43,Default,,0000,0000,0000,,katika takahadi za kiutajiri na afya. Dialogue: 0,0:02:07.43,0:02:09.54,Default,,0000,0000,0000,,Nchi ya Japani na zinginezo zilifuata Dialogue: 0,0:02:09.54,0:02:11.44,Default,,0000,0000,0000,,lakini, nchi nyingi zilizidi kubaki chini Dialogue: 0,0:02:11.44,0:02:15.12,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa, baada ya madhara ya Vita vya pili vya Dunia Dialogue: 0,0:02:15.12,0:02:18.51,Default,,0000,0000,0000,,ni vizuri tupumzike kidogo na kupiga darubini dunia ya mwaka wa 1948 Dialogue: 0,0:02:18.51,0:02:22.93,Default,,0000,0000,0000,,Mwaka wa 1948, ulikuwa mwaka mzuri kwani vita vilikuwa vimekwisha Dialogue: 0,0:02:22.93,0:02:26.10,Default,,0000,0000,0000,,Na Swdeni ilishinda kwa makombe mengi katika michezo ya Kiolimpiki ya wakati wa ubaridi Dialogue: 0,0:02:26.10,0:02:27.68,Default,,0000,0000,0000,,Na hapo ndipo nilipozaliwa Dialogue: 0,0:02:27.68,0:02:30.76,Default,,0000,0000,0000,,Lakini tofauti kati ya nchi za dunia Dialogue: 0,0:02:30.76,0:02:32.46,Default,,0000,0000,0000,,ilizidi kupanuka na kupanuka Dialogue: 0,0:02:32.46,0:02:36.52,Default,,0000,0000,0000,,Muunganao wa Kiamerika ulikuwa usoni na Japani ikiwafuatiya Dialogue: 0,0:02:36.56,0:02:38.69,Default,,0000,0000,0000,,Brazili ilikuwa i nyuma bado Dialogue: 0,0:02:38.69,0:02:42.74,Default,,0000,0000,0000,,Irani ilikuwa yawa tajiri kutokana na hela ya mafuta lakini urefu wa maisha nchini ulikuwa chini bado Dialogue: 0,0:02:42.74,0:02:45.56,Default,,0000,0000,0000,,Na Majitu ya Kieshia Dialogue: 0,0:02:45.56,0:02:47.94,Default,,0000,0000,0000,,Uchina, India, Upakistani, Ubangladeshini na Indonesia Dialogue: 0,0:02:47.94,0:02:50.34,Default,,0000,0000,0000,,walikuwa bado maskini na wagonjwa Dialogue: 0,0:02:50.34,0:02:52.37,Default,,0000,0000,0000,,Lakini anagalia kwa umakanini kile kitakachotokea Dialogue: 0,0:02:52.37,0:02:53.96,Default,,0000,0000,0000,,Hapa twaenda tena Dialogue: 0,0:02:53.96,0:02:57.38,Default,,0000,0000,0000,,Katika maisha yangu, nchi zilizokuwa chini ya utawala wa wabeberu zilijinyakulia uhuru Dialogue: 0,0:02:57.38,0:03:00.19,Default,,0000,0000,0000,,hatimaye zilianza kuwa na afya Dialogue: 0,0:03:00.19,0:03:00.95,Default,,0000,0000,0000,,na hata afya zaidi Dialogue: 0,0:03:00.95,0:03:02.40,Default,,0000,0000,0000,,na afya zaidi Dialogue: 0,0:03:02.40,0:03:06.13,Default,,0000,0000,0000,,Na miaka ya 1970, nchi za Asia na Amerika ya Kiulatini Dialogue: 0,0:03:06.13,0:03:08.56,Default,,0000,0000,0000,,Zilianza kuwa kama nchi za Kikazkazini kimaendeleo Dialogue: 0,0:03:08.56,0:03:10.72,Default,,0000,0000,0000,,zilikuwa zazidi kukuwa kiuchumi Dialogue: 0,0:03:10.72,0:03:12.42,Default,,0000,0000,0000,,na zingine za Afrika zilifuata Dialogue: 0,0:03:12.42,0:03:14.45,Default,,0000,0000,0000,,za zingine za Afrika zilididimia katika vita vya kiwenyewe Dialogue: 0,0:03:14.45,0:03:15.95,Default,,0000,0000,0000,,na zingine zilizogwa na janga la Ukimwi Dialogue: 0,0:03:15.95,0:03:18.45,Default,,0000,0000,0000,,Na sasa twaweza kuona ulimwengu wa leo Dialogue: 0,0:03:18.45,0:03:21.60,Default,,0000,0000,0000,,kutokana na habari na vipimo vya kisasa Dialogue: 0,0:03:22.86,0:03:25.44,Default,,0000,0000,0000,,watu wengi hivi leo wanaishi katikati Dialogue: 0,0:03:25.44,0:03:28.07,Default,,0000,0000,0000,,lakini kuna tofauti kubwa sana Dialogue: 0,0:03:28.07,0:03:30.24,Default,,0000,0000,0000,,kati ya nchi zilizoendelea na nchi zilizobaki nyuma Dialogue: 0,0:03:30.24,0:03:34.10,Default,,0000,0000,0000,,na pia, ndani ya kila nchi, hakuna usawa Dialogue: 0,0:03:34.10,0:03:36.56,Default,,0000,0000,0000,,Na madoti haya yanaonyesha ulinganisha kwa nchi Dialogue: 0,0:03:36.56,0:03:38.12,Default,,0000,0000,0000,,lakini pia naweza kuyatenganisha Dialogue: 0,0:03:38.12,0:03:41.16,Default,,0000,0000,0000,,Angalia kama Uchina, naweza kuitenganisha kiwilaya Dialogue: 0,0:03:41.16,0:03:44.05,Default,,0000,0000,0000,,Waiona Shanghai Dialogue: 0,0:03:44.05,0:03:47.68,Default,,0000,0000,0000,,Iko na utajiri na afya mithili ya Uitalia ya leo Dialogue: 0,0:03:47.68,0:03:51.08,Default,,0000,0000,0000,,Na pia kuna wilaya maskini ya Gansu Dialogue: 0,0:03:51.08,0:03:52.40,Default,,0000,0000,0000,,Ni mithili ya Upakistani Dialogue: 0,0:03:52.40,0:03:54.91,Default,,0000,0000,0000,,N nikiigawanya zaidi Dialogue: 0,0:03:54.91,0:03:57.80,Default,,0000,0000,0000,,pande za mashabani ni mithili ys Ghana barani Afrika Dialogue: 0,0:04:01.10,0:04:03.46,Default,,0000,0000,0000,,Na dhidi ya hizi tofauti za leo Dialogue: 0,0:04:05.13,0:04:06.80,Default,,0000,0000,0000,,tumeona miaka mia mbili ya maendeleo yenye muhimu Dialogue: 0,0:04:06.80,0:04:08.74,Default,,0000,0000,0000,,Na nafasi kubwa ya kihistoria Dialogue: 0,0:04:08.74,0:04:10.45,Default,,0000,0000,0000,,kati ya nchi za kikazkazini na zinginezo zafungika Dialogue: 0,0:04:10.45,0:04:15.22,Default,,0000,0000,0000,,ulimwengu wa sasa unarudiana Dialogue: 0,0:04:15.22,0:04:17.61,Default,,0000,0000,0000,,na naona namna mambo yakavyokuwa miaka ijayo Dialogue: 0,0:04:17.61,0:04:20.50,Default,,0000,0000,0000,,na kupitia kwa usaidizi, amani na teknolojia safi Dialogue: 0,0:04:20.50,0:04:23.24,Default,,0000,0000,0000,,sinashaka kuwa kila mtu ataendelea Dialogue: 0,0:04:24.38,0:04:25.52,Default,,0000,0000,0000,,na kuwa na utajiri na afya Dialogue: 0,0:04:27.69,0:04:30.68,Default,,0000,0000,0000,,Basi, uliyoyaona kwa dakika chahe za mwisho Dialogue: 0,0:04:30.71,0:04:33.60,Default,,0000,0000,0000,,ni hadithi ya nchi mia mbili Dialogue: 0,0:04:33.60,0:04:36.16,Default,,0000,0000,0000,,ilioonyeshwa kupitia mia mia mbili na zaidi Dialogue: 0,0:04:36.16,0:04:40.20,Default,,0000,0000,0000,,na inawezeshwa kutumia nambari 120 000 Dialogue: 0,0:04:40.25,0:04:43.00,Default,,0000,0000,0000,,Ni vizurii eeh,ama waonaje shoga wangu?