1 99:59:59,999 --> 99:59:59,999 Na hapa juu, ni watu matajiri na wenye afya 2 00:00:03,836 --> 00:00:07,140 kutumia darubini la macho, ni kiini muhimu cha kazi yangu 3 00:00:07,678 --> 00:00:10,449 Nafunza somo la afya idhidiyo kila kitu(kiulimwengu) 4 00:00:10,548 --> 00:00:13,231 Na na jua, kuwa na fununu ya mambo haitoshi 5 00:00:13,231 --> 00:00:17,920 Nataka kuionyesha kinamna ambayo itaburudisha watu na pia wataielewa. 6 00:00:17,920 --> 00:00:22,303 Kwa sasa, naenda kujaribu kitu amabacho sijakifanya abadani. 7 00:00:22,303 --> 00:00:25,182 kuieleza hiyo habari katika pahali halisi. 8 00:00:25,182 --> 00:00:28,526 kututumia usaidizi wa mahodari. 9 00:00:29,311 --> 00:00:33,375 Basi twende, kwanza laini ya afya 10 00:00:33,375 --> 00:00:38,640 Urefu wa misha toka miaka ishirini na mitano hadi miaka sabini na tano. 11 00:00:38,640 --> 00:00:41,177 Na kwa chini, laini ya utajiri. 12 00:00:41,177 --> 00:00:46,550 Uingizi wa mali: Mia nne, elfu nne na elfu arubaini Hela ya Kiamerika 13 00:00:46,550 --> 00:00:50,334 Hapa chini, ni watu maskini na wagonjwa 14 00:00:53,473 --> 00:00:58,520 Na sasa naenda kukuonyesha namna dunia ilivyokuwa miaka mia mbili iliyopota. 15 00:00:58,520 --> 00:01:00,291 Mwaka 1810 16 00:01:00,291 --> 00:01:01,962 Namna nchi zote zilivyokuwa. 17 00:01:01,962 --> 00:01:08,099 Bara la Yuropa burauni, Asia nyekundu, Mashariki ya Kati kijani kibichi na Afrika Kusina ya Sahara bilu 18 00:01:08,099 --> 00:01:09,622 Na Amerika ni yelo 19 00:01:09,622 --> 00:01:13,300 Na kiwango cha doti cha onyesha kiwango cha watu katika kila nchi. 20 00:01:13,300 --> 00:01:17,375 Mwaka 1810, idadi ya watu huko chini ilikuwa imefinyana. 21 00:01:17,375 --> 00:01:19,409 Nchi zote zilikuwa gonjwa na maskini. 22 00:01:19,409 --> 00:01:23,155 Urefu wa maisha ulikuwa chini ya miaka arubaini katika nchi zote 23 00:01:23,155 --> 00:01:26,957 Na Uingereza na Uholanzi zilikuwa zenye ubora kidogo. 24 00:01:26,957 --> 00:01:28,553 Lakini si wa wingi. 25 00:01:28,553 --> 00:01:30,201 Na sasa, naanza na dunia nzima 26 00:01:31,970 --> 00:01:36,603 Mabadiliko ya kimawanda yanafanya nchi za bara la ulaya na kwingine. 27 00:01:36,603 --> 00:01:38,578 ziendelee mbele kiliko nchi zingine. 28 00:01:38,578 --> 00:01:41,433 Lakini nchi zilizo chini ya utawa wa wazungu barani Asia na Afrika 29 00:01:41,433 --> 00:01:43,610 zimebaki huko chini. 30 00:01:43,610 --> 00:01:47,421 Ambapo nchi za Kazkazini zazidi kuwa na afya ya hali ya juu 31 00:01:47,467 --> 00:01:51,313 na sasa twatuliza ili tuonyesha mahadhara 32 00:01:51,313 --> 00:01:52,936 ya Vita vya kwanza vya Dunia 33 00:01:52,936 --> 00:01:57,672 na homa ya Kispanishi. Mkasa gani huu! 34 00:01:57,672 --> 00:02:02,403 Na sasa, naendelea kwa uharaka kuelezea miaka ya 1920 hadi 1930 35 00:02:02,403 --> 00:02:04,042 na ijapokuwa na ududumishi wa kiuchumi mkubwa duniani 36 00:02:04,119 --> 00:02:05,880 nchi za Kikazkazini zilizindi kuendelea 37 00:02:05,880 --> 00:02:07,426 katika takahadi za kiutajiri na afya. 38 00:02:07,426 --> 00:02:09,540 Nchi ya Japani na zinginezo zilifuata 39 00:02:09,540 --> 00:02:11,440 lakini, nchi nyingi zilizidi kubaki chini 40 00:02:11,440 --> 00:02:15,117 Na sasa, baada ya madhara ya Vita vya pili vya Dunia 41 00:02:15,117 --> 00:02:18,512 ni vizuri tupumzike kidogo na kupiga darubini dunia ya mwaka wa 1948 42 00:02:18,512 --> 00:02:22,926 Mwaka wa 1948, ulikuwa mwaka mzuri kwani vita vilikuwa vimekwisha 43 00:02:22,926 --> 00:02:26,098 Na Swdeni ilishinda kwa makombe mengi katika michezo ya Kiolimpiki ya wakati wa ubaridi 44 00:02:26,098 --> 00:02:27,675 Na hapo ndipo nilipozaliwa 45 00:02:27,675 --> 00:02:30,763 Lakini tofauti kati ya nchi za dunia 46 00:02:30,763 --> 00:02:32,463 ilizidi kupanuka na kupanuka 47 00:02:32,463 --> 00:02:36,525 Muunganao wa Kiamerika ulikuwa usoni na Japani ikiwafuatiya 48 00:02:36,555 --> 00:02:38,691 Brazili ilikuwa i nyuma bado 49 00:02:38,691 --> 00:02:42,742 Irani ilikuwa yawa tajiri kutokana na hela ya mafuta lakini urefu wa maisha nchini ulikuwa chini bado 50 00:02:42,742 --> 00:02:45,559 Na Majitu ya Kieshia 51 00:02:45,559 --> 00:02:47,943 Uchina, India, Upakistani, Ubangladeshini na Indonesia 52 00:02:47,943 --> 00:02:50,343 walikuwa bado maskini na wagonjwa 53 00:02:50,343 --> 00:02:52,371 Lakini anagalia kwa umakanini kile kitakachotokea 54 00:02:52,371 --> 00:02:53,962 Hapa twaenda tena 55 00:02:53,962 --> 00:02:57,384 Katika maisha yangu, nchi zilizokuwa chini ya utawala wa wabeberu zilijinyakulia uhuru 56 00:02:57,384 --> 00:03:00,188 hatimaye zilianza kuwa na afya 57 00:03:00,188 --> 00:03:00,950 na hata afya zaidi 58 00:03:00,950 --> 00:03:02,403 na afya zaidi 59 00:03:02,403 --> 00:03:06,131 Na miaka ya 1970, nchi za Asia na Amerika ya Kiulatini 60 00:03:06,131 --> 00:03:08,562 Zilianza kuwa kama nchi za Kikazkazini kimaendeleo 61 00:03:08,562 --> 00:03:10,715 zilikuwa zazidi kukuwa kiuchumi 62 00:03:10,715 --> 00:03:12,415 na zingine za Afrika zilifuata 63 00:03:12,415 --> 00:03:14,454 za zingine za Afrika zilididimia katika vita vya kiwenyewe 64 00:03:14,454 --> 00:03:15,954 na zingine zilizogwa na janga la Ukimwi 65 00:03:15,954 --> 00:03:18,454 Na sasa twaweza kuona ulimwengu wa leo 66 00:03:18,454 --> 00:03:21,598 kutokana na habari na vipimo vya kisasa 67 00:03:22,859 --> 00:03:25,440 watu wengi hivi leo wanaishi katikati 68 00:03:25,440 --> 00:03:28,068 lakini kuna tofauti kubwa sana 69 00:03:28,068 --> 00:03:30,237 kati ya nchi zilizoendelea na nchi zilizobaki nyuma 70 00:03:30,237 --> 00:03:34,098 na pia, ndani ya kila nchi, hakuna usawa 71 00:03:34,098 --> 00:03:36,560 Na madoti haya yanaonyesha ulinganisha kwa nchi 72 00:03:36,560 --> 00:03:38,120 lakini pia naweza kuyatenganisha 73 00:03:38,120 --> 00:03:41,160 Angalia kama Uchina, naweza kuitenganisha kiwilaya 74 00:03:41,160 --> 00:03:44,052 Waiona Shanghai 75 00:03:44,052 --> 00:03:47,680 Iko na utajiri na afya mithili ya Uitalia ya leo 76 00:03:47,680 --> 00:03:51,077 Na pia kuna wilaya maskini ya Gansu 77 00:03:51,077 --> 00:03:52,403 Ni mithili ya Upakistani 78 00:03:52,403 --> 00:03:54,912 N nikiigawanya zaidi 79 00:03:54,912 --> 00:03:57,800 pande za mashabani ni mithili ys Ghana barani Afrika 80 00:04:01,100 --> 00:04:03,462 Na dhidi ya hizi tofauti za leo 81 00:04:05,133 --> 00:04:06,805 tumeona miaka mia mbili ya maendeleo yenye muhimu 82 00:04:06,805 --> 00:04:08,741 Na nafasi kubwa ya kihistoria 83 00:04:08,741 --> 00:04:10,449 kati ya nchi za kikazkazini na zinginezo zafungika 84 00:04:10,449 --> 00:04:15,216 ulimwengu wa sasa unarudiana 85 00:04:15,216 --> 00:04:17,609 na naona namna mambo yakavyokuwa miaka ijayo 86 00:04:17,609 --> 00:04:20,496 na kupitia kwa usaidizi, amani na teknolojia safi 87 00:04:20,496 --> 00:04:23,242 sinashaka kuwa kila mtu ataendelea 88 00:04:24,381 --> 00:04:25,520 na kuwa na utajiri na afya 89 00:04:27,689 --> 00:04:30,683 Basi, uliyoyaona kwa dakika chahe za mwisho 90 00:04:30,714 --> 00:04:33,602 ni hadithi ya nchi mia mbili 91 00:04:33,602 --> 00:04:36,160 ilioonyeshwa kupitia mia mia mbili na zaidi 92 00:04:36,160 --> 00:04:40,200 na inawezeshwa kutumia nambari 120 000 93 00:04:40,250 --> 00:04:43,000 Ni vizurii eeh,ama waonaje shoga wangu?