9:59:59.000,9:59:59.000 Na hapa juu, ni watu matajiri na wenye afya 0:00:03.836,0:00:07.140 kutumia darubini la macho, ni kiini muhimu cha kazi yangu 0:00:07.678,0:00:10.449 Nafunza somo la afya idhidiyo kila kitu(kiulimwengu) 0:00:10.548,0:00:13.231 Na na jua, kuwa na fununu ya mambo haitoshi 0:00:13.231,0:00:17.920 Nataka kuionyesha kinamna ambayo itaburudisha watu na pia wataielewa. 0:00:17.920,0:00:22.303 Kwa sasa, naenda kujaribu kitu amabacho sijakifanya abadani. 0:00:22.303,0:00:25.182 kuieleza hiyo habari katika pahali halisi. 0:00:25.182,0:00:28.526 kututumia usaidizi wa mahodari. 0:00:29.311,0:00:33.375 Basi twende, kwanza laini ya afya 0:00:33.375,0:00:38.640 Urefu wa misha toka miaka ishirini na mitano hadi miaka sabini na tano. 0:00:38.640,0:00:41.177 Na kwa chini, laini ya utajiri. 0:00:41.177,0:00:46.550 Uingizi wa mali: Mia nne, elfu nne na elfu arubaini Hela ya Kiamerika 0:00:46.550,0:00:50.334 Hapa chini, ni watu maskini na wagonjwa 0:00:53.473,0:00:58.520 Na sasa naenda kukuonyesha namna dunia ilivyokuwa miaka mia mbili iliyopota. 0:00:58.520,0:01:00.291 Mwaka 1810 0:01:00.291,0:01:01.962 Namna nchi zote zilivyokuwa. 0:01:01.962,0:01:08.099 Bara la Yuropa burauni, Asia nyekundu, Mashariki ya Kati kijani kibichi na Afrika Kusina ya Sahara bilu 0:01:08.099,0:01:09.622 Na Amerika ni yelo 0:01:09.622,0:01:13.300 Na kiwango cha doti cha onyesha kiwango cha watu katika kila nchi. 0:01:13.300,0:01:17.375 Mwaka 1810, idadi ya watu huko chini ilikuwa imefinyana. 0:01:17.375,0:01:19.409 Nchi zote zilikuwa gonjwa na maskini. 0:01:19.409,0:01:23.155 Urefu wa maisha ulikuwa chini ya miaka arubaini katika nchi zote 0:01:23.155,0:01:26.957 Na Uingereza na Uholanzi zilikuwa zenye ubora kidogo. 0:01:26.957,0:01:28.553 Lakini si wa wingi. 0:01:28.553,0:01:30.201 Na sasa, naanza na dunia nzima 0:01:31.970,0:01:36.603 Mabadiliko ya kimawanda yanafanya nchi za bara la ulaya na kwingine. 0:01:36.603,0:01:38.578 ziendelee mbele kiliko nchi zingine. 0:01:38.578,0:01:41.433 Lakini nchi zilizo chini ya utawa wa wazungu barani Asia na Afrika 0:01:41.433,0:01:43.610 zimebaki huko chini. 0:01:43.610,0:01:47.421 Ambapo nchi za Kazkazini zazidi kuwa na afya ya hali ya juu 0:01:47.467,0:01:51.313 na sasa twatuliza ili tuonyesha mahadhara 0:01:51.313,0:01:52.936 ya Vita vya kwanza vya Dunia 0:01:52.936,0:01:57.672 na homa ya Kispanishi. Mkasa gani huu! 0:01:57.672,0:02:02.403 Na sasa, naendelea kwa uharaka kuelezea miaka ya 1920 hadi 1930 0:02:02.403,0:02:04.042 na ijapokuwa na ududumishi wa kiuchumi mkubwa duniani 0:02:04.119,0:02:05.880 nchi za Kikazkazini zilizindi kuendelea 0:02:05.880,0:02:07.426 katika takahadi za kiutajiri na afya. 0:02:07.426,0:02:09.540 Nchi ya Japani na zinginezo zilifuata 0:02:09.540,0:02:11.440 lakini, nchi nyingi zilizidi kubaki chini 0:02:11.440,0:02:15.117 Na sasa, baada ya madhara ya Vita vya pili vya Dunia 0:02:15.117,0:02:18.512 ni vizuri tupumzike kidogo na kupiga darubini dunia ya mwaka wa 1948 0:02:18.512,0:02:22.926 Mwaka wa 1948, ulikuwa mwaka mzuri kwani vita vilikuwa vimekwisha 0:02:22.926,0:02:26.098 Na Swdeni ilishinda kwa makombe mengi katika michezo ya Kiolimpiki ya wakati wa ubaridi 0:02:26.098,0:02:27.675 Na hapo ndipo nilipozaliwa 0:02:27.675,0:02:30.763 Lakini tofauti kati ya nchi za dunia 0:02:30.763,0:02:32.463 ilizidi kupanuka na kupanuka 0:02:32.463,0:02:36.525 Muunganao wa Kiamerika ulikuwa usoni na Japani ikiwafuatiya 0:02:36.555,0:02:38.691 Brazili ilikuwa i nyuma bado 0:02:38.691,0:02:42.742 Irani ilikuwa yawa tajiri kutokana na hela ya mafuta lakini urefu wa maisha nchini ulikuwa chini bado 0:02:42.742,0:02:45.559 Na Majitu ya Kieshia 0:02:45.559,0:02:47.943 Uchina, India, Upakistani, Ubangladeshini na Indonesia 0:02:47.943,0:02:50.343 walikuwa bado maskini na wagonjwa 0:02:50.343,0:02:52.371 Lakini anagalia kwa umakanini kile kitakachotokea 0:02:52.371,0:02:53.962 Hapa twaenda tena 0:02:53.962,0:02:57.384 Katika maisha yangu, nchi zilizokuwa chini ya utawala wa wabeberu zilijinyakulia uhuru 0:02:57.384,0:03:00.188 hatimaye zilianza kuwa na afya 0:03:00.188,0:03:00.950 na hata afya zaidi 0:03:00.950,0:03:02.403 na afya zaidi 0:03:02.403,0:03:06.131 Na miaka ya 1970, nchi za Asia na Amerika ya Kiulatini 0:03:06.131,0:03:08.562 Zilianza kuwa kama nchi za Kikazkazini kimaendeleo 0:03:08.562,0:03:10.715 zilikuwa zazidi kukuwa kiuchumi 0:03:10.715,0:03:12.415 na zingine za Afrika zilifuata 0:03:12.415,0:03:14.454 za zingine za Afrika zilididimia katika vita vya kiwenyewe 0:03:14.454,0:03:15.954 na zingine zilizogwa na janga la Ukimwi 0:03:15.954,0:03:18.454 Na sasa twaweza kuona ulimwengu wa leo 0:03:18.454,0:03:21.598 kutokana na habari na vipimo vya kisasa 0:03:22.859,0:03:25.440 watu wengi hivi leo wanaishi katikati 0:03:25.440,0:03:28.068 lakini kuna tofauti kubwa sana 0:03:28.068,0:03:30.237 kati ya nchi zilizoendelea na nchi zilizobaki nyuma 0:03:30.237,0:03:34.098 na pia, ndani ya kila nchi, hakuna usawa 0:03:34.098,0:03:36.560 Na madoti haya yanaonyesha ulinganisha kwa nchi 0:03:36.560,0:03:38.120 lakini pia naweza kuyatenganisha 0:03:38.120,0:03:41.160 Angalia kama Uchina, naweza kuitenganisha kiwilaya 0:03:41.160,0:03:44.052 Waiona Shanghai 0:03:44.052,0:03:47.680 Iko na utajiri na afya mithili ya Uitalia ya leo 0:03:47.680,0:03:51.077 Na pia kuna wilaya maskini ya Gansu 0:03:51.077,0:03:52.403 Ni mithili ya Upakistani 0:03:52.403,0:03:54.912 N nikiigawanya zaidi 0:03:54.912,0:03:57.800 pande za mashabani ni mithili ys Ghana barani Afrika 0:04:01.100,0:04:03.462 Na dhidi ya hizi tofauti za leo 0:04:05.133,0:04:06.805 tumeona miaka mia mbili ya maendeleo yenye muhimu 0:04:06.805,0:04:08.741 Na nafasi kubwa ya kihistoria 0:04:08.741,0:04:10.449 kati ya nchi za kikazkazini na zinginezo zafungika 0:04:10.449,0:04:15.216 ulimwengu wa sasa unarudiana 0:04:15.216,0:04:17.609 na naona namna mambo yakavyokuwa miaka ijayo 0:04:17.609,0:04:20.496 na kupitia kwa usaidizi, amani na teknolojia safi 0:04:20.496,0:04:23.242 sinashaka kuwa kila mtu ataendelea 0:04:24.381,0:04:25.520 na kuwa na utajiri na afya 0:04:27.689,0:04:30.683 Basi, uliyoyaona kwa dakika chahe za mwisho 0:04:30.714,0:04:33.602 ni hadithi ya nchi mia mbili 0:04:33.602,0:04:36.160 ilioonyeshwa kupitia mia mia mbili na zaidi 0:04:36.160,0:04:40.200 na inawezeshwa kutumia nambari 120 000 0:04:40.250,0:04:43.000 Ni vizurii eeh,ama waonaje shoga wangu?