1 00:00:15,500 --> 00:00:19,160 Watu wengi walikuja na kumwambia Yehoshafati 2 00:00:19,160 --> 00:00:23,060 ya kwamba jeshi kubwa lilijongea kufanya vita na yeye. 3 00:00:23,060 --> 00:00:27,030 Baada ya kushtushwa na habari hizi, Yehoshafati alitangaza 4 00:00:27,030 --> 00:00:29,120 mafungo kwa Yuda nzima. 5 00:00:29,120 --> 00:00:31,960 Watu walikuja kutoka miji yote ya Yuda 6 00:00:31,960 --> 00:00:34,350 kufunga na kuomba kwa pamoja. 7 00:00:34,350 --> 00:00:37,580 Tulikuwa sehemu ya kundi kubwa, na Yehoshafati 8 00:00:37,580 --> 00:00:40,970 alimuomba msaada kwa unyenyekevu Mungu. 9 00:00:40,970 --> 00:00:44,420 Kisha Mtu aitwaye Yahazieli alisimama na kusema 10 00:00:44,420 --> 00:00:47,160 kwamba Yehoshafati atakiwihi kujihusisha— 11 00:00:47,160 --> 00:00:50,290 ya kwamba ilikuwa sii vita yake, bali ya vita ya Mungu. 12 00:00:59,710 --> 00:01:03,570 Ilikuwa mapema asubuhi tulipoanza safari kwenye jangwa la Tekoa. 13 00:01:03,570 --> 00:01:07,200 Tulikuwa na wasiwasi kukutana na jeshi hili kubwa, 14 00:01:07,200 --> 00:01:09,490 lakini tuliambiwa tuwe na imani. 15 00:01:09,490 --> 00:01:11,760 Tulikuwa tumesali. 16 00:01:13,920 --> 00:01:16,400 Pindi kundi la upepelezi lilipokuja juu ya mlima, 17 00:01:16,400 --> 00:01:19,030 tuliona tu maiti kote kote. 18 00:01:21,030 --> 00:01:23,030 Adui zetu waligeukana. 19 00:01:23,030 --> 00:01:28,030 Sala za Yehoshafati zilishinda vita bila haja ya kupigana.