0:00:15.500,0:00:19.160 Watu wengi walikuja na [br]kumwambia Yehoshafati 0:00:19.160,0:00:23.060 ya kwamba jeshi kubwa lilijongea[br]kufanya vita na yeye. 0:00:23.060,0:00:27.030 Baada ya kushtushwa na habari hizi,[br]Yehoshafati alitangaza 0:00:27.030,0:00:29.120 mafungo kwa Yuda nzima. 0:00:29.120,0:00:31.960 Watu walikuja kutoka miji yote ya Yuda 0:00:31.960,0:00:34.350 kufunga na kuomba kwa pamoja. 0:00:34.350,0:00:37.580 Tulikuwa sehemu ya kundi [br]kubwa, na Yehoshafati 0:00:37.580,0:00:40.970 alimuomba msaada kwa unyenyekevu Mungu. 0:00:40.970,0:00:44.420 Kisha Mtu aitwaye Yahazieli[br]alisimama na kusema 0:00:44.420,0:00:47.160 kwamba Yehoshafati[br]atakiwihi kujihusisha— 0:00:47.160,0:00:50.290 ya kwamba ilikuwa sii vita yake,[br]bali ya vita ya Mungu. 0:00:59.710,0:01:03.570 Ilikuwa mapema asubuhi tulipoanza [br]safari kwenye jangwa la Tekoa. 0:01:03.570,0:01:07.200 Tulikuwa na wasiwasi[br]kukutana na jeshi hili kubwa, 0:01:07.200,0:01:09.490 lakini tuliambiwa tuwe na imani. 0:01:09.490,0:01:11.760 Tulikuwa tumesali. 0:01:13.920,0:01:16.400 Pindi kundi la upepelezi[br]lilipokuja juu ya mlima, 0:01:16.400,0:01:19.030 tuliona tu maiti kote kote. 0:01:21.030,0:01:23.030 Adui zetu waligeukana. 0:01:23.030,0:01:28.030 Sala za Yehoshafati zilishinda vita[br]bila haja ya kupigana.