Amara

Loading... Select your Languages

Khmer subtitles

← Hans Rosling's 200 Countries, 200 Years, 4 Minutes - The Joy of Stats - BBC Four

View Subtitles (32)

Subtitles translated from English. Showing Revision 1, created 12/30/2010 by parkside .

  1. Title:
    Hans Rosling's 200 Countries, 200 Years, 4 Minutes - The Joy of Stats - BBC Four
  2. Description:

  3. kutumia darubini la macho, ni kiini muhimu cha kazi yangu
  4. Nafunza somo la afya idhidiyo kila kitu(kiulimwengu)
  5. Na na jua, kuwa na fununu ya mambo haitoshi
  6. Nataka kuionyesha kinamna ambayo itaburudisha watu na pia wataielewa.
  7. Kwa sasa, naenda kujaribu kitu amabacho sijakifanya abadani.
  8. kuieleza hiyo habari katika pahali halisi.
  9. kututumia usaidizi wa mahodari.
  10. Basi twende, kwanza laini ya afya
  11. Urefu wa misha toka miaka ishirini na mitano hadi miaka sabini na tano.
  12. Na kwa chini, laini ya utajiri.
  13. Uingizi wa mali: Mia nne, elfu nne na elfu arubaini Hela ya Kiamerika
  14. Hapa chini, ni watu maskini na wagonjwa
  15. Na sasa naenda kukuonyesha namna dunia ilivyokuwa miaka mia mbili iliyopota.
  16. Mwaka 1810
  17. Namna nchi zote zilivyokuwa.
  18. Bara la Yuropa burauni, Asia nyekundu, Mashariki ya Kati kijani kibichi na Afrika Kusina ya Sahara bilu
  19. Na Amerika ni yelo
  20. Na kiwango cha doti cha onyesha kiwango cha watu katika kila nchi.
  21. Mwaka 1810, idadi ya watu huko chini ilikuwa imefinyana.
  22. Nchi zote zilikuwa gonjwa na maskini.
  23. Urefu wa maisha ulikuwa chini ya miaka arubaini katika nchi zote
  24. Na Uingereza na Uholanzi zilikuwa zenye ubora kidogo.
  25. Lakini si wa wingi.
  26. Na sasa, naanza na dunia nzima
  27. Mabadiliko ya kimawanda yanafanya nchi za bara la ulaya na kwingine.
  28. ziendelee mbele kiliko nchi zingine.
  29. Lakini nchi zilizo chini ya utawa wa wazungu barani Asia na Afrika
  30. zimebaki huko chini.
  31. Ambapo nchi za Kazkazini zazidi kuwa na afya ya hali ya juu
  32. na sasa twatuliza ili tuonyesha mahadhara
  33. ya Vita vya kwanza vya Dunia
  34. na homa ya Kispanishi. Mkasa gani huu!
  35. Na sasa, naendelea kwa uharaka kuelezea miaka ya 1920 hadi 1930
  36. na ijapokuwa na ududumishi wa kiuchumi mkubwa duniani
  37. nchi za Kikazkazini zilizindi kuendelea
  38. katika takahadi za kiutajiri na afya.
  39. Nchi ya Japani na zinginezo zilifuata
  40. lakini, nchi nyingi zilizidi kubaki chini
  41. Na sasa, baada ya madhara ya Vita vya pili vya Dunia
  42. ni vizuri tupumzike kidogo na kupiga darubini dunia ya mwaka wa 1948
  43. Mwaka wa 1948, ulikuwa mwaka mzuri kwani vita vilikuwa vimekwisha
  44. Na Swdeni ilishinda kwa makombe mengi katika michezo ya Kiolimpiki ya wakati wa ubaridi
  45. Na hapo ndipo nilipozaliwa
  46. Lakini tofauti kati ya nchi za dunia
  47. ilizidi kupanuka na kupanuka
  48. Muunganao wa Kiamerika ulikuwa usoni na Japani ikiwafuatiya
  49. Brazili ilikuwa i nyuma bado
  50. Irani ilikuwa yawa tajiri kutokana na hela ya mafuta lakini urefu wa maisha nchini ulikuwa chini bado
  51. Na Majitu ya Kieshia
  52. Uchina, India, Upakistani, Ubangladeshini na Indonesia
  53. walikuwa bado maskini na wagonjwa
  54. Lakini anagalia kwa umakanini kile kitakachotokea
  55. Hapa twaenda tena
  56. Katika maisha yangu, nchi zilizokuwa chini ya utawala wa wabeberu zilijinyakulia uhuru
  57. hatimaye zilianza kuwa na afya
  58. na hata afya zaidi
  59. na afya zaidi
  60. Na miaka ya 1970, nchi za Asia na Amerika ya Kiulatini
  61. Zilianza kuwa kama nchi za Kikazkazini kimaendeleo
  62. zilikuwa zazidi kukuwa kiuchumi
  63. na zingine za Afrika zilifuata
  64. za zingine za Afrika zilididimia katika vita vya kiwenyewe
  65. na zingine zilizogwa na janga la Ukimwi
  66. Na sasa twaweza kuona ulimwengu wa leo
  67. kutokana na habari na vipimo vya kisasa
  68. watu wengi hivi leo wanaishi katikati
  69. lakini kuna tofauti kubwa sana
  70. kati ya nchi zilizoendelea na nchi zilizobaki nyuma
  71. na pia, ndani ya kila nchi, hakuna usawa
  72. Na madoti haya yanaonyesha ulinganisha kwa nchi
  73. lakini pia naweza kuyatenganisha
  74. Angalia kama Uchina, naweza kuitenganisha kiwilaya
  75. Waiona Shanghai
  76. Iko na utajiri na afya mithili ya Uitalia ya leo
  77. Na pia kuna wilaya maskini ya Gansu
  78. Ni mithili ya Upakistani
  79. N nikiigawanya zaidi
  80. pande za mashabani ni mithili ys Ghana barani Afrika
  81. Na dhidi ya hizi tofauti za leo
  82. tumeona miaka mia mbili ya maendeleo yenye muhimu
  83. Na nafasi kubwa ya kihistoria
  84. kati ya nchi za kikazkazini na zinginezo zafungika
  85. ulimwengu wa sasa unarudiana
  86. na naona namna mambo yakavyokuwa miaka ijayo
  87. na kupitia kwa usaidizi, amani na teknolojia safi
  88. sinashaka kuwa kila mtu ataendelea
  89. na kuwa na utajiri na afya
  90. Basi, uliyoyaona kwa dakika chahe za mwisho
  91. ni hadithi ya nchi mia mbili
  92. ilioonyeshwa kupitia mia mia mbili na zaidi
  93. na inawezeshwa kutumia nambari 120 000
  94. Ni vizurii eeh,ama waonaje shoga wangu?